Liverpool yaambiwa iache ubahili kwa Mane

Liverpool yaambiwa iache ubahili kwa Mane

578
0
KUSHIRIKI
Sadio Mane
Sadio Mane
Sadio Mane

KLABU ya Liverpool ambayo inamfukuzia mshambuliaji wa Southampton, Sadio Mane, imeambiwa na klabu hiyo kutoa kiasi cha pauni milioni 40 kama inamtaka mchezaji wao huyo.

Kocha mkuu wa Liver, Jurgen Klopp, anamtaka Msenegali huyo kwa udi na uvumba lakini ‘The Saints’ hao hawataki kumpoteza mchezaji wao huyo mahiri na iwapo watamuachia basi ada ya uhamisho wake itakuwa kubwa na itakayowapa faida.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU