Lukaku, Benteke wasakwa na Juve

Lukaku, Benteke wasakwa na Juve

238
0
KUSHIRIKI
Romelu Lukaku
Romelu Lukaku
Romelu Lukaku

MABINGWA wa Ligi Kuu Italia, Juventus inataka kumsajili mmoja kati ya Romelu Lukaku au Christian Benteke ili awe mrithi wa nafasi itakayoachwa wazi na Alvaro Morata, anayetarajiwa kurudi kwenye klabu ya Real Madrid katika kipindi hiki cha majira ya kiangazi.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU