Man United macho yote kwa Bonucci

Man United macho yote kwa Bonucci

286
0
KUSHIRIKI
Leonardo Bonucci
Leonardo Bonucci
Leonardo Bonucci

MIAMBA ya soka England, klabu ya Manchester United inammendea mlinzi wa kati wa klabu ya Juventus, Leonardo Bonucci.

United iliyo chini ya kocha Jose Mourinho, inasaka saini ya beki huyo kisiki lakini inakabiliwa na upinzani mkali kutoka kwa wapinzani wao wa ligi kuu, Manchester City na Chelsea.

Bonucci kwa sasa anakichezea kikosi cha Italia kinachoshiriki michuano ya Euro, na ameonesha kiwango cha hali ya juu akishirikiana na Giorgio Chiellini na Andrea Barzagli, kwa pamoja wakiunda ukuta mgumu kupitika.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU