Willian kuzeekea Chelsea

Willian kuzeekea Chelsea

394
0
KUSHIRIKI

LONDON, England

MSHAMBULIAJI wa klabu ya Chelsea, Willian, amemwaga wino na kusaini mkataba wa miaka minne wa kusalia kwa matajiri hao wa jiji la London.

Willian (27), alichaguliwa kuwa mchezaji bora Chelsea wa msimu wa 2015/16 na sasa ameamua kubaki kwenye klabu hiyo hadi mwaka 2020.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU