Ranieri kupewa mkataba wa miaka mitano

Ranieri kupewa mkataba wa miaka mitano

339
0
KUSHIRIKI
Claudio Ranieri

LONDON, England

KOCHA Claudio Ranieri wa Leicester City anaripotiwa kuwa atapewa mkataba wa miaka mitano kabla ya kuanza msimu ujao.

Kwa mujibu wa gazeti la  Daily Mail, kocha huyo ameshasema kuwa anataka kubaki na klabu hiyo kwa muda mrefu na huku akisema kuwa anaridhishwa na mazingira ya mkataba alionao kwa sasa.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU