Draxler aiita Arsenal imtoe Wolfsburg

Draxler aiita Arsenal imtoe Wolfsburg

509
0
KUSHIRIKI

MUNICH, Ujerumani

KIUNGO mchezeshaji wa Klabu ya Wolfsburg, Julian Draxler, amedai kuwa anataka kuondoka klabuni hapo na hiyo ni habari nzuri kwa Arsenal, ambao wamekuwa wakimfukuzia kwa kipindi kirefu.

Draxler amedai kuwa anataka kukiacha kikosi hicho na kucheza katika moja ya klabu kubwa za barani Ulaya.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU