Kipa Juve ‘azidatisha’ Everton, Lazio

Kipa Juve ‘azidatisha’ Everton, Lazio

380
0
KUSHIRIKI

TURIN, Italia

KLABU za Everton na Lazio ziko kwenye mbio ya kumfukuzia mlinda mlango wa Juventus, Neto.

Neto mwenye umri wa miaka 27, ni kipa namba mbili pale Juve akiwa nyuma ya mkongwe, Gianluigi Buffon.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU