PSG, Milan zatua kwa Aguero

PSG, Milan zatua kwa Aguero

276
0
KUSHIRIKI

LONDON, England

FOWADI wa Manchester City, Sergio Aguero, anawaniwa na klabu za PSG na AC Milan.

Straika huyo ameonekana kutokuwa na mawasiliano mazuri na kocha Pep Guardiola.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU