Chelsea wampata mrithi wa Fabregas

Chelsea wampata mrithi wa Fabregas

899
0
KUSHIRIKI

LONDON, England

UONGOZI wa Chelsea umepanga kutumia pauni milioni 10 kuinasa huduma ya kiungo wa Fiorentina, Milan Badelj.

Taarifa zimedai nyota huyo ataziba nafasi ya Cesc Fabregas, ambaye ziku zake Stamford Bridge zinahesabika.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU