Mashabiki Spurs wamlilia Isco

Mashabiki Spurs wamlilia Isco

501
0
KUSHIRIKI

LONDON, England

MASHABIKI wa Tottenham wameutaka uongozi wa klabu hiyo kuhakikisha unamsajili staa Isco wa Real Madrid.

Isco amemaliza dakika 90 katika michezo miwili tu msimu huu, hivyo kuna uwezekano mkubwa wa kukubali kuhamia London ikiwa uongozi wa Spurs utakaza buti.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU