Mourinho anatamka staa wa Napoli

Mourinho anatamka staa wa Napoli

521
0
KUSHIRIKI

MANCHESTER, England

IMERIPOTIWA kuwa kocha Jose Mourinho ametenga pauni milioni 25 kuhakikisha anamnasa nyota wa Napoli, Elseid Hysaj.

Inaaminika kuwa Mreno huyo anataka kuwapiga bei Chris Smalling na Matteo Darmian.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU