West Ham kumtimua Arbeloa

West Ham kumtimua Arbeloa

387
0
KUSHIRIKI

LONDON, England

KWA mujibu wa vyanzo vya habari, beki Alvaro Arbeloa hayupo kwenye mipango ya kocha wake pale West Ham, Slaven Bilic.

Beki huyo wa kulia raia wa Hispania, ameshindwa kuwa msaada kwenye kikosi hicho na huenda akatimka Januari.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU