DAVID ALABA AITAKA ARSENAL

DAVID ALABA AITAKA ARSENAL

549
0
KUSHIRIKI

LONDON, England


IMERIPOTIWA kuwa beki wa Bayern Munich, David Alaba, anavutiwa na mpango wa kutua Arsenal pindi atakapoondoka Ujerumani.

Kauli ya Alaba imetokana na tetesi za hivi karibuni kuwa nyota huyo anajiandaa kutimkia Bayern na kutua Manchester United.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU