MAN UNITED WAKARIBIA KUMNASA STAA LAZIO

MAN UNITED WAKARIBIA KUMNASA STAA LAZIO

666
0
KUSHIRIKI

MANCHESTER, England

IMERIPOTIWA kuwa, Manchester United wanaongoza kwenye mbio za kufukuzia saini ya beki wa Lazio, Stefan de Vrij.

Klabu nyingine inayomfukuzia kwa kasi Mholanzi huyo ni AC Milan, ambao tayari wameshapeleka ofa yao.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU