ULLOA KUKIMBIA BENCHI LEICESTER

ULLOA KUKIMBIA BENCHI LEICESTER

349
0
KUSHIRIKI

LONDON, England

STRAIKA wa Leicester, Leonardo Ulloa, ametoboa kuwa anafikiria kuondoka klabuni hapo kwa kuwa  hapati nafasi ya kucheza mara kwa mara.

Nyota huyo mwenye umri wa miaka 30, amekuwa akiwaniwa na klabu tajiri za China na huenda akatimkia huko.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU