BILIC AMTAKA STURRIDGE

BILIC AMTAKA STURRIDGE

355
0
KUSHIRIKI

LONDON, England

KOCHA wa West Ham, Slaven Bilic, amedai kuwa uongozi wa timu yake umepania kumsajili staa wa Liverpool, Daniel Sturridge.

Bilic aliyasema hayo mbele ya wandishi wa habari kabla ya mchezo wa jana dhidi ya wakali wa Merseyside, Liver.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU