CHICHARITO KUREJEA ENGLAND

CHICHARITO KUREJEA ENGLAND

507
0
KUSHIRIKI

MANCHESTER, England

STAA wa zamani wa Manchester United, Javier Hernandez ‘Chicharito’, anaweza kurejea Ligi Kuu England ifikapo Januari.

Mkataba wa sasa wa nyota huyo na Bayer Leverkusen una kipengele kinachomruhusu kuondoka na ameonyesha nia ya kukipiga England kwa mara nyingine.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU