MOURINHO ALIZUNGUMZA NA BRUMA IKASHINDIKANA

MOURINHO ALIZUNGUMZA NA BRUMA IKASHINDIKANA

394
0
KUSHIRIKI

MANCHESTER, England

TAARIFA zilizopo ni kwamba, kocha wa Manchester United, Jose Mourinho, alijaribu bila mafanikio kuinasa saini ya staa wa Galatasaray, Bruma.

Mourinho alikutana uso kwa uso na Bruma na kuzungumza naye kuhusu mpango wa kutua Old Trafford, lakini nyota huyo aliamua kubaki Uturuki.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU