SANCHEZ ATAKA WENGER AONDOKE ILI ASAINI

SANCHEZ ATAKA WENGER AONDOKE ILI ASAINI

894
0
KUSHIRIKI

LONDON, England

SHABIKI wa Arsenal umeisikia hii? Staa Alexis Sanchez, amesema atabaki klabuni hapo ikiwa tu kocha Arsene Wenger ataondoka.

Mbali na kutaka ongezeko la mshahara, maboresho ya kikosi, Sanchez atasaini mkataba mpya ikiwa tu Wenger atafungasha virago.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU