RAIS BARCA: MESSI ATAZEEKEA HAPA

RAIS BARCA: MESSI ATAZEEKEA HAPA

387
0
KUSHIRIKI

RAIS wa klabu ya Barcelona, Josep Maria Bartomeu, amesema ana imani kuwa staa wa timu hiyo, Lionel Messi, atasaini mkataba mpya wa kuendelea kuitumikia timu hiyo.

Mkataba wa Messi utafikia kikomo ifikapo mwaka 2018 na miamba hao wapo kwenye mipango ya kumpa mkataba mpya staa wao huyo ili amalizie soka lake Camp Nou.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU