MAN UNITED WATOLEWA NJE KWA CAVANI

MAN UNITED WATOLEWA NJE KWA CAVANI

667
0
KUSHIRIKI
Edinson Cavani

PARIS, Ufaransa

MPANGO wa Manchester United kumsajili staa Edinson Cavani umekwama baada ya mabosi wake wa PSG kusema nyota huyo hauzwi.

Rais wa klabu hiyo ya jijini Paris, Nasser Al-Khelaifi, alidai kuwa straika huyo atabaki klabuni hapo kwa miaka mingi ijayo.

 

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU