RAMSEY NOUAH AFIKISHA MIAKA 46

RAMSEY NOUAH AFIKISHA MIAKA 46

601
0
KUSHIRIKI
Ramsey Nouah

Lagos, Nigeria

MKONGWE wa Nollywood, Ramsey Nouah, bado anaonekana kuwa ‘handsome’ pamoja na jana kufikisha umri wa miaka 46.

Akijulikana kwa kuigiza filamu za mapenzi, mzaliwa hiyo wa eneo la Ondo, amekuwa akifanya vizuri kwenye tasnia hiyo ya uigizaji kwa miaka mingi sasa.

Msanii huyo aliyeigiza zaidi ya filamu 76, alichaguliwa kuwa mwigizaji bora katika tuzo za ‘Africa Movie Academy’ mwaka 2010.

Ramsey, ambaye baba yake ni raia wa Israel na mama yake ni kabila la Yoruba nchini Nigeria, ameoana na Emelia Philips-Nouah na wamefanikiwa kupataq watoto wawili.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU