ARSENAL WAMTEGA PEREIRA KWA PAUNI MIL 20

ARSENAL WAMTEGA PEREIRA KWA PAUNI MIL 20

635
0
KUSHIRIKI

LONDON, England


TAARIFA zilizopo ni kwamba, Arsenal wanataka kutumia pauni milioni 20 kuinasa saini ya beki wa kushoto wa Porto, Ricardo Pereira.

Nyota huyo mwenye umri wa miaka 23, amekuwa akiwaniwa na klabu kadhaa za Ulaya hivyo Arsenal wanatakiwa kukaza buti.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU