KOLAROV HAKIJAELEWEKA MAN CITY

KOLAROV HAKIJAELEWEKA MAN CITY

484
0
KUSHIRIKI

MANCHESTER, England


HAKUNA mazungumzo yanayoendelea kati ya Manchester City na beki wao Aleksandar Kolarov juu ya mkataba mpya.

Inadaiwa kuwa kocha wake Pep Guardiola hana mpango wa kumpa mkataba mpya na huenda beki huyo wa pembeni akatimka zake wakati wa dirisha dogo la usajili la Januari.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU