KUMBE KWELI EVRA ANARUDI OLD TRAFFORD!

KUMBE KWELI EVRA ANARUDI OLD TRAFFORD!

1073
0
KUSHIRIKI

MANCHESTER, England


WIKI kadhaa zilizopita kulikuwa na tetesi kuwa huenda beki Patrice Evra akarejea Manchester United lakini sasa kuna uhakika mkubwa wa mpango huo kukamilika.

Sababu kubwa ya Evra kujiunga na klabu yake hiyo ya zamani ni ubovu wa safu ya ulinzi hasa upande wa kushoto.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU