DROGBA AGOMA KUSTAAFU, KUREJEA MARSEILLE

DROGBA AGOMA KUSTAAFU, KUREJEA MARSEILLE

522
0
KUSHIRIKI

PASRIS, Ufaransa


STRAIKA Didier Drogba amesisitiza kuwa hana mpango wa kuachana na soka na badala yake anaamini siku moja atajiunga na klabu yake ya zamani ya Marseille.

Mwafrika huyo ana umri wa miaka 38 na hana timu tangu alipoachana na Montreal Impact.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU