FELIPE MELO ARUDI BRAZIL

FELIPE MELO ARUDI BRAZIL

453
0
KUSHIRIKI

KLABU ya Palmeiras ya Ligi Kuu nchini Brazil, imethibitisha kuinasa saini ya kiungo Felipe Melo kutoka Inter Milan.

Mbrazil huyo mwenye umri wa miaka 33, amecheza mechi tano pekee tangu kuanza kwa msimu huu wa Serie A.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU