INTER WAPANGA KUMNYAKUA MESSI

INTER WAPANGA KUMNYAKUA MESSI

463
0
KUSHIRIKI

MILAN, Italia


UONGOZI wa Inter Milan una mkakati mzito wa kumsajili nyota wa Barcelona, Lionel Messi, wakati wa majira ya kiangazi.

Inter wanamvizia mshindi huyo mara tano wa tuzo ya Ballon d’Or ambaye amegoma kusaini mkataba mpya Camp Nou.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU