MOURINHO AMTAKA BAKAYOKO

MOURINHO AMTAKA BAKAYOKO

911
0
KUSHIRIKI

MANCHESTER, England


MANCHESTER United wametenga fungu kuhakikisha wanamchukua beki Tiemoue Bakayoko wa Monaco.

Bakayoko yuko kwenye kikosi cha timu ya vijana wenye umri chini ya miaka 21 ya Ufaransa na uhamisho wake kutua Man United umependekezwa na kocha Jose Mourinho.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU