MAN UNITED WAMKOMALIA MENDY

MAN UNITED WAMKOMALIA MENDY

950
0
KUSHIRIKI

MANCHESTER, England

MANCHESTER United wameendelea kung’ang’ania mpango wao wa kumchukua nyota wa Monaco, Benjamin Mendy.

Man United watakumbana na upinzani mkali kutoka kwa Man City ambao pia wanaitaka huduma ya beki huyo wa kushoto.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU