JUVENTUS WAMMEZEA MATE LEWANDOWSKI

JUVENTUS WAMMEZEA MATE LEWANDOWSKI

591
0
KUSHIRIKI

TURIN, Italia

STRAIKA wa Bayern Munich, Robert Lewandowski, ametajwa kuwa na mikakati ya usajili wa mabingwa wa Seria A, Juventus.

Hata hivyo, huenda isiwe rahisi kwa Bayern kumwachia staa huyo ambaye amekuwa na msaada mkubwa kwenye safu yao ya ushambuliaji.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU