RODRIGUEZ ALILIA KWENDA MAN UNITED

RODRIGUEZ ALILIA KWENDA MAN UNITED

1254
0
KUSHIRIKI

MANCHESTER, England

HUENDA mpango wa Manchester United kumchukua James Rodriguez ukatimia, baada ya nyota huyo kusema anataka kuondoka Real Madrid.

Rodriguez amemtaka wakala wake, Jorge Mendes, kuhakikisha anakamilisha dili la kutua Old Trafford.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU