ARSENAL WAMSOGELEA VAN DIJK

ARSENAL WAMSOGELEA VAN DIJK

789
0
KUSHIRIKI

LONDON, England

ARSENAL wameingia kwa fujo kwenye mbio za kuifukuzia saini ya beki wa Southampton, Virgil van Dijk.

Gunners wanataka kutoa Pauni milioni 50 kumchukua nyota huyo ambaye amekuwa akifukuziwa na Liverpool.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU