COUTINHO AFURAHIA KUITWA BARCELONA

COUTINHO AFURAHIA KUITWA BARCELONA

1043
0
KUSHIRIKI

MERSEYSIDE, England

NYOTA wa Liverpool ameeleza kukoshwa na kitendo cha saini yake kutakiwa na wababe wa La Liga, Barcelona.

Mbrazil huyo amesema Barca ni timu kubwa kwenye ulimwengu wa soka na anasubiri kuona kama wakala wake atafuatwa.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU