NYOTA PSG AMKARIBISHA SACHEZ

NYOTA PSG AMKARIBISHA SACHEZ

695
0
KUSHIRIKI

PARIS, Ufaransa

MPACHIKAJI mabao hatari wa PSG, Edinson Cavani, amemkaribisha nyota anayefukuziwa na klabu hiyo, Alexis Sanchez.

Cavan raia wa Uruguay amedai kuwa atafurahia kuona staa huyo wa Arsenal akitua klabuni hapo wakati wa majira ya kiangazi.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU