WILLIAN AGOMA KWENDA MAN UNITED

WILLIAN AGOMA KWENDA MAN UNITED

1175
0
KUSHIRIKI

LONDON, England

KIUNGO wa Chelsea na timu ya Taifa ya Brazil, Willian, amegomea mpango wa kujiunga na Manchester United.

Nyota huyo mwenye umri wa miaka 28, amesisitiza kuwa anafurahia maisha ya Stamford Bridge, hasa baada ya ubingwa.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU