BARCA WAMFUKUZIA COSTA

BARCA WAMFUKUZIA COSTA

1578
0
KUSHIRIKI

CATALUNYA, Hispani

WINGA wa Bayern Munich, Douglas Costa, yupo kwenye rada za wababe wa La Liga, Barcelona.

Mpango huo wa kumchukua Costa umeelezwa kumkosa kocha mpya wa Wacatalunya hao, Ernesto Valverde.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU