LIVERPOOL WASUSA KUMSAJILI VAN DIJK

LIVERPOOL WASUSA KUMSAJILI VAN DIJK

1079
0
KUSHIRIKI

MERSEYSIDE, England

IMERIPOTIWA kuwa, Liverpool wameliweka kando wazo la kumsajili beki wa kati wa Southampton, Virgil van Dijk.

Hiyo ni baada ya Southampton kudai Liver walianza kutumia njia chafu kumshawishi mchezaji huyo kutua Anfield.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU