MBAPPE AKIZINGUA WENGER ANAMBEBA MARTIAL

MBAPPE AKIZINGUA WENGER ANAMBEBA MARTIAL

1127
0
KUSHIRIKI

LONDON, England

MZEE Arsene Wenger amepanga kumchukua Anthony Martial wa Manchester United endapo atamkosa Kylian Mbappe.

Wenger ametajwa kutenga pauni milioni 40 kumsajili Martial ikiwa Mbappe atakimbilia Real Madrid.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU