CHELSEA YATAKA EURO MIL. 60 KWA COSTA

CHELSEA YATAKA EURO MIL. 60 KWA COSTA

831
0
KUSHIRIKI

LONDON, England

TIMU ya Chelsea inaripotiwa kuitaka Atletico Madrid ijikamue kitita cha Euro milioni 68 ili iweze kumwachia staa wao, Diego Costa.

Kwa sasa staa huyo bado yupo njiapanda, baada ya kocha wake, Antonio Conte, kumtumia ujumbe akimueleza kuwa msimu ujao hatakuwamo katika mipango yake.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU