EVERTON KUJARIBU TENA KWA SIGURDSSON.

EVERTON KUJARIBU TENA KWA SIGURDSSON.

453
0
KUSHIRIKI

LONDON, England

TIMU ya Everton inaripotiwa kuwa na mpango wa kukamilisha pauni milioni 100 kwa kumsajili nyota wa Swansea City, Gylfi Sigurdsson.

Taarifa za vyombo vya habari vya Uingereza zinaeleza kuwa, baada ya kocha wao, Ronald Koeman, kutia kibindoni kitita cha pauni milioni 75 kwa kumuuza straika wake, Romelu Lukaku, kwa  sasa anajiandaa kutuma ofa ya nne ili kujaribu kumnasa staa huyo mwenye umri wa miaka  27.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU