PERISIC AZIDI ‘KUWABIPU’ MASHABIKI MAN UTD

PERISIC AZIDI ‘KUWABIPU’ MASHABIKI MAN UTD

1760
0
KUSHIRIKI

ROMA, Italia

STAA Ivan Perisic amezidi kuwabipu mashabiki wa Manchester United, bada ya kutuma ujumbe tena katika mtandao wake wa kijamii wa twitter akieleza jinsi anavyotamani kujiunga na mashetani hao wekundu.

Staa huyo wa Inter Milan, mara nyingi msimu uliopita alikuwa akituma ujumbe kama huo na akarudia kufanya hivyo tena juzi, kupitia mtandao huo wa Instagram.

Hadi sasa Perisic hajajiunga na kikosi chake kwa ajili ya kujiwinda na msimu ujao, licha ya Inter Milan kuwa tayari wameshaanza kujinoa.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU