PIQUE: MESSI? RONALDO ATACHUKUA BALLON D’OR

PIQUE: MESSI? RONALDO ATACHUKUA BALLON D’OR

980
0
KUSHIRIKI

TOKYO, Japan

BEKI wa klabu ya Barcelona, Gerard Pique, ametoa maoni yake kuhusu nani atakayeweza kunyakua tuzo ya Ballon d’Or mwaka huu, moja kwa moja akamtaja Cristiano Ronaldo.

Pique anaamini Ronaldo atanyakua tuzo hiyo kutokana na mataji muhimu aliyofanikiwa kuyabeba mwaka huu.

“Unataka kujua nani ataibuka mshindi? Ni Cristiano Ronaldo. Niulize kwanini? Ameshinda taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya na LaLiga, hivyo asilimia nyingi lazima zimwendee yeye,” alisema.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU