BENZEMA HAMKIMBII MBAPPE MADRID

BENZEMA HAMKIMBII MBAPPE MADRID

1039
0
KUSHIRIKI

MADRID, Hispania

MPACHIKAJI mabao hatari wa timu ya Taifa ya Ufaransa, Karim Benzema, hataondoka Real Madrid licha ya tetesi za ujio wa Kylian Mbappe.

Madrid wako bize kuisaka huduma ya kinda huyo mwenye umri wa miaka 18, lakini Benzema amesema atasaini mkataba mpya.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU