DYBALA AMSHIKA BABAYA MOURINHO

DYBALA AMSHIKA BABAYA MOURINHO

1610
0
KUSHIRIKI

TURIN, Italia

KOCHA wa Manchester United anaitaka kwa udi na uvumba saini ya Paulo Dybala, lakini fowadi huyo mwenye umri wa miaka 23, amesema hachomoki mjini Turin.

Habari hiyo ni mbaya kwa Barcelona ambao pia wamekuwa wakimfukuzia tangu kufunguliwa kwa dirisha hili la usajili.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU