DIAMOND PLATNUMZ KUTUMBUIZA BURE LEO DAR

DIAMOND PLATNUMZ KUTUMBUIZA BURE LEO DAR

519
0
KUSHIRIKI

WCB-2NA JESSCA NANGAWE

RAIS Dk. Jonh Magufuli, leo anatarajia kuwa mgeni rasmi katika tamasha la usalama barabarani litakalofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam na kuambatana na burudani kutoka kwa msanii Diamond Platnumz na timu yake ya WCB.

Mbali na burudani kutoka kwa wasanii mbalimbali watakaoongozwa na Diamond Platnumz, kutakuwa na elimu mbalimbali kuhusu masuala ya usalama barabarani pamoja na mechi za mpira wa miguu kutoka kwa wabunge na makundi mbalimbali.

“Kesho (leo) nitakuwa Uwanja wa Taifa, kazi yangu kubwa itakuwa ni kutoa burudani

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU