CHELSEA YAMGEUKIA VARDY

CHELSEA YAMGEUKIA VARDY

575
0
KUSHIRIKI

LONDON, England

TIMU ya Chelsea imetangaza kwamba itamsajili straika wa Leicester City, Jamie Vardy, ili iweze kuimarisha safu yake ya ushambuliaji.

vyombo vya habari nchini Uingereza viliripoti jana kwamba kocha wa timu hiyo, Antonio Conte, anamtaka straika huyo ili aweze kusaidiana na Alvaro Morata.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU