LEMAR SASA RASMI ARSENAL

LEMAR SASA RASMI ARSENAL

413
0
KUSHIRIKI

LONDON, England

SASA unaweza kusema kwamba straika wa AS Monaco, Thomas Lemar, ni mali ya Arsenal, baada ya Gunners kuingia makubaliano ya kumchukua nyota huyo kuanzia Januari mwakani.

Gazeti la Daily Star Sunday liliripoti jana kwamba, staa huyo atasaini mkataba wa miaka mitano ambapo atakuwa akilipwa pauni 250,000 kwa wiki.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU