OZIL KUICHOMOLEA ARSENAL

OZIL KUICHOMOLEA ARSENAL

910
0
KUSHIRIKI

LONDON, England

STAA Mesut Ozil anaripotiwa kuwa na mpango wa kuweka ngumu kusaini mkataba mpya na klabu yake ya Arsenal.

Gazeti la Sunday Mirror liliripoti jana kwamba, kiungo huyo anapanga mkakati huo ili aweze kwenda kujiunga na Jose Mourinho katika timu ya Man Utd.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU