MOURINHO AJIACHIA NA MASHABIKI WA LIVERPOOL

MOURINHO AJIACHIA NA MASHABIKI WA LIVERPOOL

709
0
KUSHIRIKI

MOSCOW, Urussi

KOCHA wa Manchester United, Jose Mourinho, juzi alijiachia na mashabiki wa Liverpool kwa kupiga nao picha.

Kwa mujibu wa gazeti la Daily Mirror, kocha huyo alifanya hivyo  kabla ya mechi ya Ligi ya  Mabingwa Ulaya kati ya Liver na Spartkak Moscow, iliyomalizika kwa sare ya bao 1-1.

Liver na Man United walikuwa nchini Urusi kwa ajili ya michuano hiyo, ambapo jana Man United walicheza na CSKA Moscow na kuibuka na ushindi wa mabao 4-1.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU